Home Traders

Home Traders

Tembelea TK FM Redio 88.5 Tanga

Monday, 1 August 2016

Miss Tanga 2016 Habari Picha

Washiriki wote Kumi walioshiriki Shindano la TK FM MISS TANGA 2016 Kutoka kushoto Aisha Ally,Fatuma Makota,Beatrice Mwangili,Rukaiya Hassan,Edina Kisabo,Neema Kweka,Rose Simon,Eligiva Mwasha,Felister George na Glory Mahimu.




Rukaiya Hassan  mshiriki wa Miss Tanga alieshika nafasi ya Tatu

Picha inajieleza mshindi wa tatu kushoto wa pili kulia na wa kwanza katikati
Asha Ally mshiriki aliyeshika nafasi ya pili
Edina Kisabo mshiriki na mshindi wa Miss Talent 2016
Tano Bora ya Miss Tanga

PICHA ZOTE KWA HISANI YA TK

No comments:

Post a Comment