Timu
ya Ruvu Shiuting ya pwani leo imecheza soka safi la kuvutia katika uwanja wa
mabatini mara baada ya kuwaalika timu ya
mbeya city katika mchezo wao wa kirafiki kwa ajili ya kujiandaa na msimu wa
ligi kuu bara.
Akizungumza
na tk fm redio usiku huu msemaji wa ruvu shoting masau bwire amesema kuwa timu hiyo
imepata bao katika dakika ya 43 kwa bao
limegfungwa na yusufu nguya kwa njia ya penalt
mara baada ya mbeya city kumchezea
vibaya mchezaji wa ruvu aliyekuwa akielekea langoni mwa mbeya city.
No comments:
Post a Comment